IMANI

Imani ni hali ya kuwa na mtazamo juu ya kitu fulani au kuwa na mtazamo ya kuyaona matokeo ya kitu fulani angali hujakiona.Una Imani ya kiasi gani? Je mambo ya napokuwa magumu, Je unakuwa na Imani ya kuwa mambo yatakwenda shwari? Inabidi ujengwe na Imani ndani yako siku zote.Kwani Imani ndiyo nguvu inayokusaidia wewe kuweza kuendelea na kufanikiwa katika maisha yako.Mtu mwenye Imani anaamini,Mfano
a.Nitafaulu mitihani yangu.
b.Nitapata kazi
c.Nitaweza kufanya jambo fulani.
Hapo mtu anakuwa ameshajitengenezea matokeo chanya na kujiona ya kuwa yeye ni mshindi.Nguvu ya IMANI ni kubwa sana katika maisha yako.
Mmabo ya Kuzingatia katika Kuenga Imani yako;
1.Kumwomba MUNGU-watu wote tumejengwa na dini zetu.Kulingana na dini zetu tuweze kumwomba MUNGU.
2.Kuwa na mtazamo chanya siku zote.
3.Amini kwa yale unayoyatenda ya kuwa yatakuletea faida juu ya maisha yako.
5.Jiamini na Jikubali
6.Shikilia mitazamo yako itakayokusaidia kufika mbele.
7.Iishi Imani yako.


Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Today's Quotes.

THINK BIG.

MOVING ON.