THE POWER OF VISIONS.

Vision is an experience in which a personage,thing,or event appears vividly or credibly to the mind,Although not actually present,often under the influence of your thoughts.
Maono ni picha ambazo huja kimfumo wa kimawazo kwa kitu fulani kuonekana lakini hakipo kwa mda huo.Je una Maono?
Unaijua nguvu ya maono? Do you identify the power of VISIONS in you.

Unapokuwa na Maono inakusaidia wewe kuitengeneza hatima yako.Kwani unakuwa unapata "Probabilities" ya mafanikio yako.Kuna Siri kubwa katika Maono.Making you live within the purpose.Kama una maono ya kuja kuwa Dakatari then utafanya kila namna ili uweze kuja kuwa daktari wa baadae.Maono yako tu ndiyo yanyokupa moyo kwani."If you can dream it,then you can accomplish it.'' Fanya kila Namna usiweze kupoteza your VISIONS.Kuwa na Maono +ve na sio -ve Utakapoelewa kuwa maono yana maana kwako hapo ndipo utajua kuwa wewe sio wa kawaida but from the NEXT LEVEL.Accomplish your VISIONS and DREAMS. Kuwa Inspired Zidi na Anthony Luvanda-Motivtiona Speaker kuhusu maono kwa video hapo chini.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Today's Quotes.

THINK BIG.

MOVING ON.